Mtazamo wa 2027 wa kisiasa

Mwanasiasa wa UDA amependekeza kwamba Rais William Ruto anaweza kumtoa naibu Rais Kithure Kindiki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027

Matamshi hayo yamezua mjadala mpya kuhusu mstakabali wa utawala wa Kenya Kwanza na uwezekano wa mabadiliko ndani ya UDA huku kinyang’anyiro cha 2027 kikikaribia.

Una maoni gani kuhusu mazungumzo haya ya kisiasa yanaendelea?